Rais Obama Ajibu Mapigo Na Kushinda Kwenye Mdahalo Na Romney
Rais
wa Marekani Barack Obama ameweza kujibu mapigo kwa kumgaragaza mpinzani
wake Gavana Mitt Romney katika mdahalo wa uchaguzi wa Rais nchini
Marekani.
Mdahalo huo ambao ulifanyika usiku wa Jumanne tarehe 16 Oktoba katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Hofstra kat
Mdahalo huo ambao ulifanyika usiku wa Jumanne tarehe 16 Oktoba katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Hofstra kat
News By Staff Reporter
Rais Obama Agalagazwa Na Romney Kwenye Mdahalo Urais Marekani
Rais wa
Marekani Barack Obama jana aligalagazwa vibaya na mpinzani wake Mitt
Romney kwenye mdahalo wa uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliofanyika
katika jiji la Denver katika jimbo la Colorado.
0 comments: