Kama
bado huamini kuwa mziki wa bongofleva unalipa basi wewe hautakuwa
mzima. Kwa siku za hivi karibuni tumeona wasanii wa bongo wakiwa
wanafanya maendeleo ambayo ni ishara tosha kuwa kazi wanayoifanya
inawalipa sana, japokuwa kuna misukosuko kibao. Tumemuana Diamond na
Prado lake, Ney wa Mitego na Mark X, Ommy Dimpoz na pia sasa Barnaba nae
kaamua kutungua kitu kama mnavyokiona kwenye picha hapo juu. HII NDIO
GARI MPYAA YA BARNABA, MPE HONGERA ZAKE MAANA USAFIRI HUU SI CHINI YA
MIL 30. BIG UP
Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.
0 comments: