Tuesday 30 October 2012

HUYU NDIO ANADAIWA KUWA BARNABA FEKI ALIEKWENDA KUPIGA SHOW KARATU ARUSHA NA KUSABABISHA FUJO.

Posted at  08:21  |  in  mpya

.
Baada ya millardayo.com kuripoti stori ya Barnaba feki aliepanda kwenye stage kuimba huko Karatu kusababisha fujo na watu kudhamiria kumjeruhi baada ya kugundua ni feki, mtu wangu wa nguvu Yusufu Msaliko amenitumia picha iliyoambatana na hii msg.
Picha hizo ni za msanii barnaba joseph aliefanya show karatu arusha na watu wakadhani kuwa ni Barnaba boy wa THT, picha nyingine ni meneja alieandaa show hiyo bwana EmanuelL Mgaiwa wa Arusha ambae  anasema aliandaa show kwa ajili ya Barnaba boy original lakini cha kushangaza alikuja barnaba joseph, yeye mwenyewe alikuja hakujua kama yule ni barnaba feki mpaka vurugu zilivyoanza majira ya saa 8 usiku.
namba ya msanii huyo barnaba joseph na namba ya ya meneja huyo ziko hapo na namba ya mwenye ukumbi mahali show hiyo ilfanyika pub la Mote.
Msanii huyo anafanya kazi mjini arusha na ana ngoma zake kibao kama rudi ft Nasra..na wanaponda aliofanyia tetemesha records kwa kid bwoy.. anasema aliandaliwa show akafanye lakini hakujua kama kule karatu watu wametangaziwa atakaekuja ni Barnaba boy.
millardayo.com inafatilia ili kupata stori kamili kutoka kwa wahusika, asante sana Msaliko.
.
Promota alieandaa.
Barnaba origina

Share this post

Kuhusu Mdaku Orijino

Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 BONGO MAGAZINE 1. by Mdakuzi
Proudly Powered by Blogger.
back to top