Kama bado huamini kuwa mziki wa bongofleva unalipa basi wewe hautakuwa mzima. Kwa siku za hivi karibuni tumeona wasanii wa bongo wakiwa wanafanya maendeleo ambayo ni ishara tosha kuwa kazi wanayoifanya inawalipa sana, japokuwa kuna misukosuko kibao. Tumemuana Diamond na Prado lake, Ney wa Mitego na Mark X, Ommy Dimpoz na pia sasa Barnaba nae kaamua kutungua kitu kama mnavyokiona kwenye picha hapo juu. HII NDIO GARI MPYAA YA BARNABA, MPE HONGERA ZAKE MAANA USAFIRI HUU SI CHINI YA MIL 30. BIG UP
0 comments: