Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano huo.
Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya
Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua
Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo
Oktoba 23, 2012.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa alipowasili
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa
Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Bendi ya muziki ya Vijana Jazz Orchestra 'Wana Pambamoto' ikitumbuiza
kwa wimbo maalumu katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma ikiwa
ni shamra ya kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa
chama tawala leo Oktoba 23, 2012.
Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya
vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012. Wanachama wa umoja wa vijana kutoka nchi rafiki mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw. Benno Malisa akihutubia
katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya kufungua
Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo
Oktoba 23, 2012.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea zawadi toka kwa Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM Bw.
Benno Malisa katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kabla ya
kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala
leo Oktoba 23, 2012. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wajumbe baada ya kufungua mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe wa viongozi wa jumuiya za
vijana toka nchi mbalimbali marafiki. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa UVCCM . (PICHA NA IKULU)
Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.
0 comments: