Tuesday, 2 August 2016

MO AANZA AMWAGA HELA MSIMBAZI

Posted at  11:14  |  in    |  Read More»

Kuonyesha mapenzi yake makubwa na klabu, bilionea Mo Dewji ameipatia Simba kitita cha shilingi milioni mia moja kwa ajiliya usajiliMfanyabiashara anayetaka kuwekeza kwenye klabu ya Simba Mohamed Dewji 'MO' leo ameukabidhi uongozi wa timu hiyo...

Investments Opportunities

Posted at  09:55  |  in  mchanganyiko  |  Read More»

Investment Opportunities The Ministry has many potential areas for local and foreign investment. The investment opportunities are available in Tourism, Antiquities, Forestry and Beekeeping and Wildlife sectors. Favorable National...

Sunday, 31 July 2016

Habari mchanganyiko

Posted at  11:58  |  in    |  Read More»

1.Usajili majira ya joto ulaya watikisa 2.Mkutano wa Simba s c makubwa ya ibuka 3. Rais magufuri apiga marufuku kodi kwa wakulima wadogowadog...

Thursday, 19 December 2013

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo December 19 2013

Posted at  07:29  |  in  skendo  |  Read More»

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...

BARNABA ANUNUA GARI JIPYA

Posted at  07:16  |  in  skendo  |  Read More»

Kama bado huamini kuwa mziki wa bongofleva unalipa basi wewe hautakuwa mzima. Kwa siku za hivi karibuni tumeona wasanii wa bongo wakiwa wanafanya maendeleo ambayo ni ishara tosha kuwa kazi wanayoifanya inawalipa sana, japokuwa kuna misukosuko...

Thursday, 5 September 2013

JOAKIM LOW: Madrid selling Ozil is incomprehensible

Posted at  05:58  |  in  nje  |  Read More»

The 24-year-old joined the north London club for a club record fee of €50 million after making 159 appearances for the Spanish giants, and Low simply cannot understand why los Blancos chose to get rid of him."For me, it is a bit incomprehensible...

KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANIA MH. FREEMAN MBOWE ATOLEWA BUNGENI LEO NA KUSABABISHA VURUGU KATI YA WABUNGE WA UPINZANI NA ASKARI WA BUNGE

Posted at  05:49  |  in  skendo  |  Read More»

Ni aibu nyingine ndani ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya vurugu kubwa kutokea Bungeni leo, ambapo askari wa Bunge walikuwa wakivutana na Wabunge wa kambi ya upinzani waliokuwa wakipinga amri ya Naibu Spika ya kumtoa nje...

Page 1 of 3712345Next
About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 BONGO MAGAZINE 1. by Bloggertheme9
Proudly Powered by Blogger.