Saturday 30 March 2013

UP DATE ZA KUANGUKA JENGO LA GHOROFA 16.

Posted at  03:00  |  in  skendo


.
Hadi sasa miili ya watu 18 imepatikana katika jengo la ghorofa 16 lililododondoka jana mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam ila hadi sasa haijajulikana ni watu wangapi wanaosadikiwa kufunikwa na kifusi cha jengo hilo.

Rais Jakaya Kikwete toka jana na leo pia ametembelea eneo hilo na kuhakikisha juhudi utekelezaji mambo mbalimbali zinafanikiwa, pia Waziri mkuu Mizengo Pinda na viongozi wengine wamefika eneo la tukio.

Share this post

Kuhusu Mdaku Orijino

Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 BONGO MAGAZINE 1. by Mdakuzi
Proudly Powered by Blogger.
back to top