RIHANNA AMETANGAZA ALBUM MPYA ‘UNAPOLOGETIC’
Ni moja kati ya wasanii wanao hit na ngoma kali nzuri huyu si mwingine
ni Rihanna.Msanii huyu ukiachana na mwaka huu baada ya kusambaza ngoma
yake ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la Talk That Talk,Sasa amerudi na
ujio mpya wa album yake ya saba ambayo ameipa jina la "UNAPOLOGETIC
"dzain sasa wale mashabiki wa RiRi wakae tayari kwa ujio mpya...NU JOINT: ADAM MCHOMVU A.K.A BABA JONII / BROTHER MUSA
read more
JOKATE MWEGELO AZINDUA “KIDOTI LOVING”
Siku ya jana katika hoteli moja inayofahamika kwa jina la Serena iliyopo
hapa Town kulikuwa na uzinduzi rasmi wa kampuni ya KIDOTI LOVING
ambayo kampuni hii inamilikiwa na mwana dada ambaye aliwahi kuwa mshindi
wa pili wa miss Tanzania 2006 huyu si mwingine ni Jokate Mwegelo.Jokate
alifunguka jana na kusema kwamba kampuni yake itakuwa inahusika na vitu
mbalimbali kama vile...LINEX AKANUSHA KUMMWAGA DEM WAKE WA KIZUNGU
Baada ya gazeti moja la udaku kumwaga wino na kudai kuwa msanii Linex
amemmwaga dem wake wa kizungu na kumtambulisha mpya kwenye viwanja vya
Liders siku ya fiesta, Linex amekanusha madai hayo kwa nguvu zote
"mwenyewe nashanagaa kuona hii story kwenye blog na magazeti lakini
sijui imetoka wapi, mimi mwenyewe nakanusha sijaachana nae, niko nae na
tuko fresh, na next month...MSICHANA ALIEIGIZA KWENYE AIFOLA AMSHTAKI LINEX KWA KUMPA KOFI LA UKWELI
BEEF ILIYOTOKEA KATI YA 50 CENT NA FRENCH MONTANA
Kutoka pande za state tunakuna na wasanii wawili ambao kiukweli kila
mmoja anafanya vizuri katika game la muziki nchini Marekani.Sasa kuna
kitu ambacho kimetokea leo hii asubuhi nchini marekani baada ya mtu
mzima French montana kufunguka kuhusiana na kazi za mtu mzima 50 cent
katika game la muziki.French montana baada ya kuhojiwa leo katika kituo
cha radio nchini Marekani alifunguka...NU VIDEO:MEEK MILL FT BIG SEAN 'BURN'
Ukizungumzia Team nzima ya Maybac music basi mtu mzima Meek mill lazima
awepo katika label hiyo ambayo inamilikiwa na msanii ambaye alikinukisha
mbaya ile siku ya Fiesta huyu si mwingine ni Rozay Boss .Sasa basi
najua kwamba ulikuwa na kiraruraru cha kushuhudia kichupa kipya cha mtu
mzima Meek mill hiki hapo ebu fanya kama unaingia hapo uone jinsi
alivyofanya yake...CHECK OUT:PREZZO AKI FREESTYLE KWA AJILI YA "ONE COMPAIGN"
Prezzo ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea pande za 254 nairobi
Kenya.Tunafahamu kwamba msanii huyu baada ya kuwa mshindi katika jumba
la Big Brother Star Game alipata shavu la kuwa Balozi wa One
Compaign.Sasa hii ni moja kati video ambayo mtu mzima Prezzo akipiga
zake Freestyle kwa ajili ya One Compaign.
...KANYE WEST AJICHUKULIA TUZO SITA NDANI YA BET AWARDS 2012
Naweza kusema kwamba msanii ni moja kati ya wasanii wakali kwa upande wa
muziki wa Hip Hop nchini American.Sasa kama unakumba ile siku ya tarehe
29 mwezi wa Septemba ndiyo ilikuwa siku ya kugawa Tuzo za Bet Hip Hop
Awards 2012 kwa wasanii walifanya vizuri katika game la muziki nchini
American lakini show hiyo bhana dzain aikuruka hewani kwani
zilirekodiwa...NIKKI MBISHI NA WEUSI TENA NDANI YA BIFF
U HEEEEARD NA GOSSIP COP

read more
LADY J DEE SOON KUTOA ZAWADI YA AMBAYE ATAKAYE BAHATISHA JINA LA SHOW YAKE KATIKA TV
Najua mwana dada Lady J Dee unamfahamu kwamba ni moja kati ya wasanii
wakongwe katika game la muziki wa hapa Tzee.Sasa habari ambayo tumeipata
kuhusu mwana dada huyu ni kwamba anatarajia kuanza project mpya ya
kipindi chake cha tv na atasimamia yeye mwenye lakini sasa mwana dada
huyu bhana aliandika ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa Facebook kwamba
mtu yoyote...read more



Kuhusu


0 comments: