ARSENAL 2 WEST BROM 0
Penati mbili za Mikel Arteta leo
zimewapa ushindi Arsenal wa Bao mbili 2-0 walipocheza na West Bromwich
Albion Uwanjani kwao Emirates na kidogo kuleta afueni baada ya mwendo
mbovu.
Arsenal walipewa Penati ya kwanza baada
ya Refa Mike Jones kuamua kwa utata kuwa Steven Reid alimchezea faulo
Santi Cazorla lakini Penati ya pili ilikuwa safi baada Alex
Oxlade-Chamberlain kuchezewa rafu na Chris Brunt.
Hata hivyo, nao WBA walinyimwa Penati kufuatia Per Mertesacker kuunawa mpira.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Wilshere, Arteta, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Gervinho, Giroud
Akiba: Martinez, Rosicky, Podolski, Ramsey, Squillaci, Coquelin, Jenkinson.
West Brom: Myhill, Reid, Olsson, McAuley, Ridgewell, Brunt, Morrison, Mulumbu, Gera, Odemwingie, Long
Akiba: Daniels, Popov, Rosenberg, Dorrans, Lukaku, Tamas, Fortune.
Refa: Mike Jones
SUNDERLAND 1 CHELSEA 3
Bao mbili za Fernando Torres na moja la
Juan Mata leo zimewapa Chelsea ushindi wao wa kwanza katika Mechi 8 za
Ligi na kuwashusha Sunderland kukaa eneo la hatari la kushushwa Daraja.
Bao pekee la Sunderland lilifungwa na Adam Johnson.
VIKOSI:
Sunderland: Mignolet, Bardsley, Cuellar, O'Shea, Rose, Johnson, Gardner, Larsson, McClean, Sessegnon, Wickham
Akiba: Westwood, Campbell, Kilgallon, Colback, Vaughan, Bramble, Saha.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Luiz, Cahill, Cole, Ramires, Romeu, Mata, Moses, Hazard, Torres
Akiba: Turnbull, Lampard, Oscar, Ferreira, Marin, Azpilicueta, Bertrand.
Refa: Mark Halsey
WIGAN 2 QPR 2
Bao mbili za James McCarthy ziliwanusuru
Wigan toka kwenye kipigo na kuwafanya QPR waingie kwenye rekodi ya kuwa
Timu ya kwanza ya kuwa Timu ya kwanza kuanza Msimu wa Ligi Kuu England
bila kupata ushindi.
Wigan walitangulia kufunga katika Dakika
ya 19 kwa Bao la James McCarthy na QPR kusawazisha Dakika ya 24 kwa Bao
la Ryan Nelsen na kisha kufunga Bao la Pili katika Dakika ya 71
mfungaji akiwa Jibril Cisse na Wigan kurudisha katika Dakika ya 75 kwa
Bao jingine la McCarthy.
VIKOSI:
Wigan: Al Habsi, Boyce, Lopez, Jones, Stam, McCarthy, McArthur, Beausejour, Gomez, Di Santo, Kone
Akiba: Pollitt, Maloney, McManaman, Boselli, Fyvie, Golobart, Redmond.
QPR: Green, Bosingwa, Nelsen, Hill, Traore, Diakite, Derry, Mbia, Wright-Phillips, Mackie, Taarabt
Akiba: Murphy, Ferdinand, Cisse, Granero, Da Silva, Hoilett, Faurlin.
Refa: Phil Dowd
ASTON VILLA 0 STOKE 0
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Lowton, Baker, Clark, Lichaj, Herd, Holman, Westwood, Bannan, Benteke, Agbonlahor
Akiba: Given, Ireland, El Ahmadi, Bent, Delph, Weimann, Williams.
Stoke: Begovic, Shotton, Huth, Shawcross, Cameron, Walters, Whitehead, Nzonzi, Whelan, Etherington, Jones
Akiba: Sorensen, Palacios, Upson, Kightly, Crouch, Wilkinson, Jerome.
Refa: Roger East
SOUTHAMPTON 1 READING 0
Bao la Dakika ya 61 la Jason Puncheon
limewakwamua Southampton kutoka Timu 3 za mwisho mkiani na kuwadidimiza
Reading kukamata nafasi ya pili toka mkiani.
VIKOSI:
Southampton: Kelvin Davis, Clyne, Fonte, Yoshida, Shaw, Puncheon, Cork, Schneiderlin, Lallana, Rodriguez, Lambert
Akiba: Boruc, Hooiveld, Steven Davis, Ramirez, Ward-Prowse, Do Prado, Mayuka.
Reading: Federici, Cummings, Mariappa, Morrison, Shorey, Robson-Kanu, Leigertwood, Tabb, McAnuff, Roberts, Le Fondre
Akiba: Taylor, Pearce, Hunt, McCleary, Guthrie, Harte, Samuel.
Refa: Jon Moss
SWANSEA 3 NORWICH 4
Hii ni Mechi iliyozaa Goli 7 na kuwafanya Norwich City waendeleza wimbi lao la kutofungwa katika Mechi 9 za Ligi.
MAGOLI:
Swansea 3
-Michu Dakika 51′ & 90′
-De Guzman 59′ .
Norwich 4
-Whittaker Dakika 16′
-Bassong 40′
-Holt 44′
-Snodgrass 77′
VIKOSI:
Swansea: Tremmel, Rangel, Chico, Williams, Davies, Dyer, Routledge, de Guzman, Ki, Michu, Graham
Akiba: Cornell, Bartley, Monk, Shechter, Moore, Tiendalli, Agustien.
Norwich: Bunn, Martin, Bassong, Whittaker, Garrido, Johnson, Snodgrass, Howson, Pilkington, Hoolahan, Holt
Akiba: Rudd, Jackson, Fox, Morison, Elliott Bennett, Barnett, Tierney.
Refa: Howard Webb
+++++++++++++++++++++++++++
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumapili 9 Desemba 2012
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Man City v Man United
[SAA 12 Jioni]
Everton v Tottenham
[SAA 1 Usiku]
West Ham v Liverpool
Jumatatu 10 Desemba 2012
[SAA 5 Usiku]
Fulham v Newcastle
Jumanne 11 Desemba 2012
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Sunderland v Reading
0 comments: