Friday, 12 October 2012

ENTERTAINMENT NEWZ KWA UFUPI

Posted at  00:03  |  in  mchanganyiko

RIHANNA AMETANGAZA ALBUM MPYA ‘UNAPOLOGETIC’

Ni moja kati ya wasanii wanao hit na ngoma kali nzuri huyu si mwingine ni Rihanna.Msanii huyu ukiachana na mwaka huu baada ya kusambaza ngoma yake ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la Talk That Talk,Sasa amerudi na ujio mpya wa album yake ya saba ambayo ameipa jina la "UNAPOLOGETIC "dzain sasa wale mashabiki wa RiRi wakae tayari kwa ujio mpya...



SHILOLE , KHADIJA KOPA NDANI YA BARMAID

Kama wewe ni mpenzi wa Bongo movie kaa tayari kwa movie hii mpya ambayo imehusisha wasanii mbalimbali wakali,  na siku ya kesho ndiyo dzain movie hii inatoka katika vituo mbalimbali hapa Tzee. ...

NU JOINT: ADAM MCHOMVU A.K.A BABA JONII / BROTHER MUSA

 
  Adam Mchomvu a.k.a Baba Jonii leo hii ameachia pini jipya Brother Musa  akiwa na Jonii, lililopikwa ndani ya studio za Tongwe records "hii ni moja kati ya inspiring songs na ndio maana nimeamua kuitoa hii, nimeogea na wale wazembe wote kuamka kwasababu unajua chapaa iko morning na sio usiku kuzurura na kusodomaiz" amesema Adam .
read more


JOKATE MWEGELO AZINDUA “KIDOTI LOVING”

Siku ya jana katika hoteli moja inayofahamika kwa jina la Serena iliyopo hapa Town kulikuwa na  uzinduzi rasmi wa kampuni ya KIDOTI LOVING ambayo kampuni hii inamilikiwa na mwana dada ambaye aliwahi kuwa mshindi wa pili wa miss Tanzania 2006 huyu si mwingine ni Jokate Mwegelo.Jokate alifunguka jana na kusema kwamba kampuni yake itakuwa inahusika na vitu mbalimbali kama vile...

K-LYN AJIFUNGUA WATOTO WAWILI MAPACHA


LINEX AKANUSHA KUMMWAGA DEM WAKE WA KIZUNGU

    Baada ya gazeti moja la udaku kumwaga wino na kudai kuwa msanii Linex amemmwaga dem wake wa kizungu na kumtambulisha mpya kwenye viwanja vya Liders siku ya fiesta, Linex amekanusha madai hayo kwa nguvu zote  "mwenyewe nashanagaa kuona hii story kwenye blog na magazeti lakini sijui imetoka wapi, mimi mwenyewe nakanusha sijaachana nae, niko nae na tuko fresh, na next month...



MSICHANA ALIEIGIZA KWENYE AIFOLA AMSHTAKI LINEX KWA KUMPA KOFI LA UKWELI

Photo: SABABU ZA MSANII "LINEX'' KUTAFUTWA NA POLISI LEO.

Janeth bundala, yule model aliyeshiriki kwenye video ya AIFOLA, kwenye kipengele kilicho onyesha akipigwa kofi na linex, amechukua RB ya kumsaka msanii linex ili amlipe kwa kofi alilompiga kwenye video hio.
Janeth amesema Linex ameshalipa gharama za yeye kuonekana kwenye video ila hakujua kama anatakiwa kulipwa kwa kofi alilopigwa, pia Janeth aliendelea kusema yupo tayari kupotezea mambo ya kupelekana polisi kama Linex atamlipa pesa anayotaka mapema.

Kwa upande wa Linex, amefunguka na kusema yupo tayari kuyamaliza haya mambo mapema kesho kwa sababu leo yupo studio anarekodi na hawezi kuonana nae leo. Linex aliendelea kusema kuwa aliposikia jambo hili alishtuka sana na hakudhani ni jambo serious kwani imeshapita miezi miwili sasa na jambo hili halikutajwa.

Janeth Bundala.
Msichana ajulikanae kama Janeth Bundala, ambae ameigiza katika video ya Aifola  ya Linex, amemshtaki na kumchukulia Rb Linex kwa madai ya udhalilishaji kwa kumpiga kofi la ukweli ukweli wakati wakiigiza kwenye video hiyo. kwa mujibu wa Linex, Janeth alikua anadai kulipwa fidia ya shilingi millioni moja katika madai hayo, lakini Linex amemlipa shilingi laki tatu na kumalizana nae maana hakutaka...

BEEF ILIYOTOKEA KATI YA 50 CENT NA FRENCH MONTANA

Kutoka pande za state tunakuna na wasanii wawili ambao kiukweli kila mmoja anafanya vizuri katika game la muziki nchini Marekani.Sasa kuna kitu ambacho kimetokea leo hii asubuhi nchini marekani baada ya mtu mzima French montana kufunguka kuhusiana na kazi za mtu mzima 50 cent katika game la muziki.French montana baada ya kuhojiwa leo katika kituo cha radio nchini Marekani alifunguka...


NU VIDEO:MEEK MILL FT BIG SEAN 'BURN'

Ukizungumzia Team nzima ya Maybac music basi mtu mzima Meek mill lazima awepo katika label hiyo ambayo inamilikiwa na msanii ambaye alikinukisha mbaya ile siku ya Fiesta huyu si mwingine ni Rozay Boss .Sasa basi najua kwamba ulikuwa na kiraruraru cha kushuhudia kichupa kipya cha mtu mzima Meek mill hiki hapo ebu fanya kama unaingia hapo uone jinsi alivyofanya yake...




CHECK OUT:PREZZO AKI FREESTYLE KWA AJILI YA "ONE COMPAIGN"

Prezzo ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea pande za 254 nairobi Kenya.Tunafahamu kwamba msanii huyu baada ya kuwa mshindi katika jumba la Big Brother Star Game alipata shavu la kuwa Balozi wa One Compaign.Sasa hii ni moja kati video ambayo mtu mzima Prezzo akipiga zake Freestyle kwa ajili ya One Compaign.              ...

KANYE WEST AJICHUKULIA TUZO SITA NDANI YA BET AWARDS 2012

Naweza kusema kwamba msanii ni moja kati ya wasanii wakali kwa upande wa muziki wa Hip Hop nchini American.Sasa kama unakumba ile siku ya tarehe 29 mwezi wa Septemba ndiyo ilikuwa siku ya kugawa Tuzo za Bet Hip Hop Awards 2012 kwa wasanii walifanya vizuri katika game la muziki nchini American lakini show hiyo bhana dzain aikuruka hewani kwani zilirekodiwa...

NIKKI MBISHI NA WEUSI TENA NDANI YA BIFF

 
  Siku mbili baada ya nikki mbishi kuandika status kupitia kwenye facebook, nilipokea inbox kibao nikiulizwa kunani kati ya ngome hizi mbili Tamaduni Muziki na Weusi, na hii ni kutokana na alichokuwa kakiandika Nikki Mbishi  Nikki Mbishi BabaMalcom Monday "Ijue kweli na kweli itakuweka huru"....eti "waache wao waandike punchlines sisi tunaandika maisha"...kuna ukweli kwenye huo usemi? nikamvutia waya mtu mzima nae akafunguka kuhusu status hiyo  ...

G.SON AKIWA KWENYE CYPHER 2009 NA WALE,KRS ONE ILIYOSIMAMIWA NA DJ PREMIER



  U HEEEEARD NA GOSSIP COP

 Inasemekana kuwa msanii wa kizazi kipya atoswa na msanii mkongwe tena alieolewa kwa kuambiwa akamtafute wa rika lake kuimba mashairi hayo ambayo yalikuwa yanahusu mapenzi.... ...
read more



LADY J DEE SOON KUTOA ZAWADI YA AMBAYE ATAKAYE BAHATISHA JINA LA SHOW YAKE KATIKA TV

Najua mwana dada Lady J Dee unamfahamu kwamba ni moja kati ya wasanii wakongwe katika game la muziki wa hapa Tzee.Sasa habari ambayo tumeipata kuhusu mwana dada huyu ni kwamba anatarajia kuanza project mpya ya kipindi chake cha tv na atasimamia yeye mwenye lakini sasa mwana dada huyu bhana aliandika ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa Facebook kwamba mtu yoyote...
read more

Share this post

Kuhusu Mdaku Orijino

Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 BONGO MAGAZINE 1. by Mdakuzi
Proudly Powered by Blogger.
back to top