Tuesday, 30 October 2012

COASTAL yatwaa nafasi ya 3 toka kwa AZAM!

Posted at  09:14  |  in  football

VPL_LOGOCoastal Union ya Tanga imeipiku Azam FC nafasi ya 3 ya Ligi Kuu Vodacom baada ya jana kuitwanga JKT Ruvu bao 3-0 kwenye Mechi iliyochezwa Uwanja wa Azam Complex huko Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dr es Salaam.
++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO KAMILI VPL:
1 Simba Mechi 10 Pointi 22
2 Yanga SC Mechi 10 Pointi 20
3 Coastal Mechi 10 Pointi 19
4 Azam FC Mechi 9 Pointi 18
5 Kagera Mechi 10 Pointi 14
6 JKT Oljoro Mechi 10 Pointi 14
7 Prisons Mechi 9 Pointi 13
8 Ruvu Shooting Mechi 10 Pointi 13
9 JKT Ruvu Mechi 10 Pointi 11
10 Mtibwa Sugar Mechi 9 Pointi 10
11 JKT Mgambo Mechi 9 Pointi 10
12 Toto African Mechi 10 Pointi 8
13 African Lyon Mechi 10 Pointi 8
14 Polisi Moro Mechi 10 Pointi 2
++++++++++++++++++++++++++
Kwenye Mechi hiyo Fowadi wa Coastal, Nsa Job, aliumia vibaya baada ya kugongana na Kipa wa JKT Ruvu na kukimbizwa Hospitalini.
Bao za Coastal zilipachikwa na Daniel Lihanga, bao mbili, na moja na Said Swedi kwa Penati.
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Oktoba 31
Yanga v Mgambo JKT [National Stadium, Dar es Salaam]
Polisi Morogoro v Simba [Jamhuri, Morogoro]
Toto Africans v Kagera Sugar [CCM Kirumba, Mwanza]
JKT Ruvu v African Lyon [Azam Complex, Dar es Salaam]
JKT Oljoro v Mtibwa Sugar [Sheikh Amri Abeid, Arusha]
Ruvu Shootings v Tanzania Prisons [Mabatini, Pwani]
Novemba 1
Azam v Coastal Union [Azam Complex, Dar es Salaam]
Novemba 3
Ruvu Shooting v Toto Africans [Mabatini, Pwani]
African Lyon v Mgambo JKT [Azam Complex, Dar es Salaam]
Kagera Sugar v Tanzania Prisons  [Kaitaba, Kagera]
Novemba 4
Azam v Yanga [National Stadium, Dar es Salaam]
Mtibwa Sugar v Simba [Jamhuri, Morogoro]
Azam v JKT Oljoro [Azam Complex, Dar es Salaam]

Share this post

Kuhusu Mdaku Orijino

Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 BONGO MAGAZINE 1. by Mdakuzi
Proudly Powered by Blogger.
back to top