Wednesday 26 September 2012

GOSSIP ZA GOSSIP COP ZAWA DILI KWA WASANII BONGO

Posted at  05:30  |  in  

Imefahamka kuwa kile kipindi cha XXL cha clouds fm has katika ile segment maarufu ya Uheard! inayo endeshwa na Sud Brown imekua dili miongon mwa wasanii bongo hasa wale wa bongo fleva na bongo muvi,inasemekana wasanii hao wamekua wkifanya skendo then kwa mlango wa nyuma wanamtumia gossip cop kujiongezea umaarufu hapa nchini. Chanzo chetu cha habari kutoka kwa mmoja wasanii ambae hakutaka tumtaje jina lake amesema,baadhi yao tayari wamejitengezea jina hapa nchini kutokana na skendo mbalimbali, akiwataja baadhi ya wasanii hao ni Wema Sepetu, Diamond, Jackline Wolper na wengine wengi.

Share this post

Kuhusu Mdaku Orijino

Tunafichua maovu, uozo na taka taka zoote wanazofanya watu wasio na staha. Unapicha yoyote habari yoyote ya washenzi wa tabia, tucheki tuwaanikeGoogle+.

0 comments:

About-Privacy Policy-Contact us
Copyright © 2013 BONGO MAGAZINE 1. by Mdakuzi
Proudly Powered by Blogger.
back to top